Mfano wa Keki ya Birthday |
Wataalamu wa kutengeneza keki wanajiandaa kwa shughuli ya utengenezaji wa Keki ya Birthday ya miaka 450 ya jiji la Rio nchini Brezil, itayokuwa na mita 450, ndani
yake itakuwa tani 2.5 ya unga wa ngano, tani 2,1 ya sukari, tani 1, 5
ya margarine, yai mia tatu, lita 1000 ya maziwa na mazaga zaga
mengine.
Keki
hiyo ya mita 450 itawekwa kwenye barabara ya Carioca mjini kati siku
ambayo wananchi watakuwa wanasherehekea miaka 450 ya jiji hilo March Mosi mwaka huu, na ambapo kila aliehudhuria sherehe hizo atatakiwa kuhonja.
Mea
wa jiji la Rio tayari ametowa kitita kinachokadiriwa kufikia Euro elf
31 kwa ajili ya manunuzi ya vifaa juu ya kutengeneza keki hiyo kubwa
kuwa kutengenezwa duniani
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire