Waziri
mkuu wa Tunisia Habib Essid ametangaza serikali yake ya muungano
iliowajumuisha wajumbe wa chama cha Ennahda na ambayo asilimiua kubwa
ni wajumbe kutoka chama kilichoshinda viti vingi bungeni cga Nidaa
Tunes.
Serikali
hiyo mpya ya kwanza kabisa tangu kufanyika kwa uchsguzi mkuu wa bunge
na wa rais mwezi Ocotba mwaka jana, itahitaji baraka kutoka bungeni
katika kikao kinachotarajiwa kufanyika hapo kesho.
Mbali
na wafuasi wa chama cha Nidaa Tunes chenye wajumbe 86 na kile cha
Ennahda chenye wajumbe 69, vyama vingine viwili vimewakilishwa
bungeni ikiwa ni pamoja na kile cha UPL chenye wajumbe 16 pamoja na
kile cha Liberal chenye wajumbe 8 bungeni. Hivyo serikali inaimani ya
kupt uungwji mkono kutoka kwa wabungr 179 dhidi ya 217 wanaounda
bunge la nchi hiyo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire