Augustin Kikukama |
Vyama zaidi ya thelathini nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo vimeungana kwa lengo la kugombea kwenye uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika nchini humo mnamo mwaka wa 2016.
Akiwa
na matumaini ya kupata ushindi kwenye uchaguzi Kuiongozi wa chama M17
Augustin Kikukama anasema kuwa wao wamejidhatiti kuhakikisha
wanaiokoa nchi hiyo.
Kwa
Upande wake Waziri wa Habari akiwa pia msemaji wa serikali ya
Kinshasa Lambert Mende, amesema hakuna haja ya kulalama kwani Raisi
ameshathibitisha kwamba hawezi kwenda kinyume na katiba ya taifa
hilo.
Lambert Mende |
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire