Rais Kenyatta Uhuru Kenyattta na Naibu waibu wake William Rutto wakiw anjiani kuelekea Arusha March 24, 2014 |
Rais
wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta hapo jana wakati Akiwa njiani kuelekea
jijini Arusha ambako atahutubia kwa mara ya kwanza katika kikao cha
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashari, amewaonya wanamgamboa wa makundi
ya Kigaidi wanaoendelea kutekeleza mashambulizi na kwamba hakutakuwa
na msamaha wa aina yoyote ile kwa magaidi.
Onyo
hili linatolewa wakati huu kukiwa na mfululizo wa matukio ya kigaidi
katika Mkoa wa Pwani wa Mombasa nchini Kenya ambako hivi karibuni
bomu na silaha zilikamatwa huku hivi majuzi watu wenye soilaha
walimina risase kanisani na kuwauwa watu zaidi ya wanne.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire