Viongozi
wa Jumjuiya ya Kiuchumi ya Soko la pamoja ya nchi za Kusini mwa
Afrika COMESA, wanakutana jijini Kinshasa nchini DRCongo katika mkutano
uliozinduliwa na rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, wakiwempo marais
kadhaa wa jumuiya hiyo akiwemo Omar hassan al Bashir.
Kushiriki
kwa Omar Bashir katika mkutano huo jijini Kinshasa kumezua utata
jijini humo baada ya mashirika yanayo kadiriwa kufikia 90 kuitaka
serikali ya DRCongo kumtia nfuvuni Omar Al Bashir anaye tsfutwa na
mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC kufuatia makosa ya kivita
yliotekelzwa katika Jimbo la Darfour.
Mbali na mashirika hayo, mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC imeitaka serikali ya rais Joseph Kabila kumkamata rais Bashir ambaye yupo chini ya waranti ya kukamatwa kutoka mahakama hiyo.
Serikali
ya DRCongo imesema haiwezi kamwe kutekeleza jambo hilo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire