Pages

vendredi 21 février 2014

MKUU WA MAJESHI ZAMANI WA BURUNDI GODEFROID NIYOMBARE ATEULIWA KUWA BALOZI WA BURUNDI NCHINI KENYA



Kiongozi wa majeshi ya Burundi FDN zamani jeneral Godefroid Niyombare ambaye kwa sasa alikuwa anahusika na maswala ya safari kwenye ikulu ya rais wa Burundi ameteuliwa kuwa balozi wa Burundi nchini Kenya kuchukuwa nafasi ya Ezechiel Nibigira ambaye amererejea nchini Burundi kuhudumu kwenye idara ya uchukuzi wa majini na bandari.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire

KINACHOFANYWA NA RAIS NKURUNZIZA KWA SASA NDIO ULE MCHEZO WA NDANI?

Mkanganyiko umeendelea kushuhudiwa katika chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD, chama ambacho hapo awali kilileta matumaini ya kuwau...