Pages

mercredi 12 février 2014

UPINZANI WAANDAMANA NCHINI AFRIKA KUSINI WAKIPNGA UKOSEFU WA AJIRA


Wafanyakazi wa mgodi wa Marikana wakiwa mgomoni


Polisi nchini Afrika Kusini imeingilia kati makabiliano baina ya wafuasi wa chama tawala cha ANC na waandamanaji jijini Johannesburg walioandamana kupinga ukosefu wa ajira nchini humo.

Polisi ililazimika kutumia mabomu ya kutowa machozi kuwasambaratisha wafuasi wa muungano wa kidemkrasia ambao wanasema chama tawala nchini humo cha ANC kimeshindwa kutekeleza ahadi yake ya kuongeza ajira.

Waandamanaji hao walipanga kuandamana hadi kwenye makao maku ya chama hicho cha ANC jijini Johannesburg.

Hayo yanajiri wakati nchi hiyo ikiajiandaa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa rais ujao April 


Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire

KINACHOFANYWA NA RAIS NKURUNZIZA KWA SASA NDIO ULE MCHEZO WA NDANI?

Mkanganyiko umeendelea kushuhudiwa katika chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD, chama ambacho hapo awali kilileta matumaini ya kuwau...