Baada
ya mazungumzo ya siku mbili jijini Dakar, katika jukwa la kwanza la
kimataifa kufanyika juu ya Amani na Usalama barani Afrika jukwa
ambalo liliandaliwa kwa ushirikiano na diplomasia ya Ufaransa, jambo
ambalo halijapokelewa vizuri na Umoja wa Afrika AU.
Licha ya wajumbe wote walioshiriki katika mkutano huo kuridhishwa na mazungumzo, swala la Ugaidi nchini Libya limeonekana kugusa hisia za viongozi wengi mkutanaoni na kuzua mjadala mkali kuhusu jukumu la majeshi ya kujihami ya nchi za magharibi Nato katika kuuangusha utawala wa hayati kanali Muamar Gadafi

Rais
wa TChad Idriss Deby Itno amesisitiza kuwa Lengo kuu la majeshi ya
Nato nchini Libya ilikuwa ni kutekeleza mauaji ya rais Gaddafi na si
vinginevyo na kwa hiyo NATO pamoja na Umoja wa Mataifa vinatakiwa
kuwajibika kurejesha amani nchini Libya.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire