Waziri
wa Burundi anayehusika na maswala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Leontine Nzeyimana amefahamaisha kwamba kwa sasa wafanyabiashara
wanatumia bandari ya Tanzania kwa kusafirisha bidhaa zao kuelekea
nchini Burundi watalipia dola za Marekani 152 badala la dola 500.
waziri
huyo amesema muafaka umefikiwa kati ya Serikali za mataifa y Burundi
na Tanzania baada ya majadiliano ya muda mrefu.
Waziri
Leontine amesema hatuwa hii itawanufaisha sana wafanyabiashara na
wanunuzi, kwani watalazimika kupiunguza bei ya bidhaa hizo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire