Baada ya gazeti la Closer nchini Ufaransa kuchapisha habari za kutengana kwa ndoa ya mwenyekiti wa chama cha mrengo wa kushoto cha FN Marine Le Pen ambacho kimejipatia ushindi katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini Ufaransa, mwenyekiti huyo Marine Le Pen ametupia picha kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter akimbusu mpenzi wake kama ishara ya kukanusha taarifa hiyo.
Marine Le Pen na mbunge wa Umoja wa Ulaya Louis Alliot wapo katika mauhusiano tangu mwaka 2009
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire