Mwaka mmoja
umetimia tangu kutiwa kuzuizini kwa rais wa zamani wa Tchad Hussene Habre aliyekuwa akieshi ukimbizini nchini Senegali kwa kipindi cha
miaka 23. katika juma lililopita kumekuwa na mvutano kati ya mahakama
isiokuwa ya kawaida ya Afrika pamoja na serikali ya Tchad.
Hussene Habre alikamatwa tangu Juni 30 mwaka 2013 na kufunguliwa mashataka
Julay 2 mwaka huo kwa tuhuma za kuhusika katika makosa ya kivita
Serikali ya
Tchad ambayo ilichangia takriban Faranga bilioni 2 katika badgeti
inayortumiwa na makahama ya Afrika, inaituhumu mahakama hiyo
kuchelewesha kesi hiyo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire