Kwa
mujibu wa taarifa kutoka katika gazeti moja nchini Ujerumani,
mawasiliano ya sim ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry
yalifanyiwa udukuzi na nchi mbili ikiwemo Marekani.
Taarifa
inakumbusha kashafa kama hiyo ya udukuzi wa mawasliano ya sim ya
kansela wa Ujerumani Angela Merkel na kituo cha Usalama wa taifa cha
Marekani NSA, ambapo sasa vyombo vya habari nchini Ujerumani na hata
kwenye mitandao ya kijamii.
Gazeti
la kila wiki la Der Spiegel limeariku kuwa mawasiliano ya simu ya
John kerry yalinaswa na idara ya usalama ya Israel katika kipindi
chaote hiki cha majadiliano kati yake na Israel pamoja na Palestina
ambayo yalifeli hivi karibuni .
Hata
hivyo gazeti hilo la Spigiel halikuthibitisha iwapo mawasiliano ya
kiongozi huyo wajuu nchini Marekani yalinaswa wakati huu wa mapigano
mjini Gaza.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire