Mapigano
yamezuka tena upya nchini Libya baada ya kushuhudiwa ukimya wa siku
kadhaa wakati huu ujumbe wa Umoja wa Mataifa UN ukifanya ziara jijini
Tripoli kwa ajili ya kuwaleta pamoja mahasimu na kupatikana kwa
usitishwaji wa mapigano.
Milipuko
na milio ya risase imesikika katika mapigano mapya baina ya makundi
mawili hasimu yakiwania kuudhibiti uwanja wa ndege wa jijini Tripoli.
Hakuna
matumaini yoyote ya kupatikana kwa usitishwaji wa mapigano hayo
yanayo lenga kuwaondowa kwenye uwanja wa ndege wapiganaji wa makundi
la Kiislam wenye asili ya miji wa Misrata, Gharyan na Zawiya.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire