Penelope Cruz na Javier Bardem Ni waigizaji wakubwa katika industry ya filamu nchini Marekani, wamepigwa marufuku kurikodi katika baadhi ya stdio za Hollywood nchini Marekani kutokana na kuonyesha msimamo wao kuhusu mzozo wa Israel na Gaza.
Waigizaji hawa, wamepinga kile kilichotekelezwa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hatua iliopelekea wao kupigwa marufuku.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire