Rapa
maharufu wa Uganda Bobi Wine amenyimwa visa ya kuingia nchini
Uingereza kwa sababu ya matamshi ya kuhusu ushoga ambapo raia wa
Uingereza wamelaumu katika pingamizi lililosainiwa na zaidi ya watu
600.
Bobi
Wine ambaye alipanga kuzuru maeneo ya Goodbye Buckingham Palace, Big
Ben na Westminster Abbey na ambako alifanya tamasha katika eneo hilo,
amekataliwa kupewa visa baada ya kutuhumiwa kuwa na matamshi mabaya
dhidi ya watu wanafanya mapenzi ya jinsi moja.
Katika
moja ya sentesi ya wimbo wake Bobi Wine anaweka wazi msimamo wake
kuhusu ushoga ambapo anawatolea wito wanancni wa Uganda kuwateketeza
bila kuwataja watu aliowaita wapungufu wa akili.
Wanaharakati
watetezi wa haki za mashoga walizindua kampeni online kupiga marufuku
tamasha za msanii huyo nchini Uingereza
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire