Serikali
ya marekani imeendelea kushikilia uamuzi wake wa kuchukua hatua dhidi
ya wanajihadi wa Dola laa Kiislamu linalo onekana kuwa hatari, na
kuahidi kuendeleza mashambulizi nchini humo licha ya tishio la kundi
hilo lawatu wenye msimamo mkali kutishia kumchinja mateka mwengine
wa marekani baada ya kutekeleza kitendo hicho kwa muandishbi wa
habari James Foley.
Mjini
Geneva, Kamishna wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa, Navi
Pillay amelaumu kuhusu hatuwa ya kupooza kwa kushughuli za Jumuiya ya
kimataifa, jambo ambalo linalo chochea kuibuka kwa wauaji,
waharibifu na watesaji katika nchi za Syria na Iraq.
wakati
Jumuiya ya kimataifa ikizuia kutowa msaada wa kupatikana kwa suluhu
katika mzozo unaondelea nchini Syria, washington na baadhi ya
washirika wake wamewapa silaha waasi wa kikurdi ili kupambana na
kundi la dola la kiislam na kuandaa mkakati wa kudumu ili kujaribu
kulitokomeza kabisa kundi hili lililoitwa kama Kansa ya dunia na rais
Barack Obama.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire