Eloge Niyonzima |
Waandishi
wa habari wawili nchini Burundi wamefikishwa kizimbani hapo jana
katika mahakama ya Mkoa wa Bubanza kaskazini mwa Burundi. Waandishi
hao ni pamoja na Eloge Niyonzima anaye ripoti kutoka mkoani hapo kwa
niaba ya Radio ya Umma RPA, pamoja na Alexis Nkeshimana
anayewakilisha Radio Bonesha FM katika eneo hilo la Burundi.
Waandishi
hao wanatuhumiwa kosa la kutaka kuyumbisha usalama wa taifa kwa
kuripoti April 16 mwaka huu taarifa za shughuli za ugavi wa silaha
kwa vijana wa chama tawala CNDD-FDD wa Imbonerakure.
Kesi
hiyo imewekwa faraghani.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire