Maandamano yameshuhudiwa nchini Ufaransa licha ya kukatazwa na serikali nchini humo. Watu wanaopinga mashambulizi yanayotekelezwa na majeshi ya Israeli katika ukanda wa Gaza, wamejitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Paris kuwaunga mkono wanancbhi wa Gaza wanaokabiliwa na hali ngumu wakati huu.
Polisi
imelazimika kuvurumisha bomu za kutowa machozi ili kuwasambaratisha
wandamanaji ambao walikuwa wamejizatiti kuhakikisha maamdamanohayo
yanafanyika na ambapo uvurumishianaji wa mawe baina ya waandamanaji
na polis umeshuhudiwa katika mji wa Barbe karibu na jiji la Paris.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire