Idadi
ya watu walipoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu nchini Kenya katika kijiji cha Kawamwaki
karibu na mji wa Limuru baada ya kunywa pombe haramu ya kienyeji
iliyotiwa sumu.
Naibu
Kamishena wa Kaunti ya Limuru Kang’ethe Thuku amethibitsiba kutokea
kwa mauaji hayon na kusema kuwa huenda pombe hiyo ilitiwa kemikali
aina ya Methanol.
Mbali
na Limuru, watu wengine 18 wanahofiwa kupoteza maisha pia baada ya
kunywa hiyo na wengine zaidi ya arobaini wamelazwa Hospitalini.
Si
mara ya kwanza watu kupoteza maisha nchini humo kwa kunywa pombe
haramu na hata wengine wamekuwa wakibaki vipofu kwa kubugia pombe
hiyo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire