Askari wa Umoja wa Afrika
nchini Somalia (AMISOM) na jeshi la Somalia wamefanikiwa siku ya
Jumapili kuuteka mji wa Barawe, ngome ya mwisho ya wanamgambo wa
Al-Shebab na bandari kuu ambayo ilikuwa bado iko mikononi mwao.
Wachambuzi wa mambo wanaona
kuwa hatua hii ni pigo kwa wanamgambo wa Al-Shabab ambao walikuwa
wanatumia bandari hii kupitisha chakula, kuuza mkaa pamoja na kupokea
wapiganaji wake wa kigeni wanaoingia nchini humo.

Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire