Waziri
wa zamani wa ulinzi wa serikali ya Marekani Leon Paneta na kiongozi wa zamani wa
idara ya ujasusi, ambaye kitabu chake Worthy Fights kinazinduliwa
hii leo, ameikosoa sera ya rais Obama kupambana na Ugaidi nchini Iraq
na Syria, na kuonya kwamba kwa hali ilivyo vita hivyo vinaweza kudumu
miaka 30.
wakati
vita dhidi ya kundi la IS ikipamba moto, huku wanajihadi wa hao
wakiendelea kumudu kwenye uwanja wa mapambano dhidi ya mashambulizi
ya majeshi ya muungano, waziir wa ulinzi wa zamani amejitokeza na
kuvunja ukimya kwa kutowa kauli ambayo imeighadhabisha Ikulu ya
Marekani ya White House.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire