Wanajeshi
wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, na kutakiwa kulipa faini
ya franka za Burundi milioni 15 na miaka 20 ya kazi za umma kwa kosa
la kumuuawa Evariste Ngenzi aliekuwa kiongozi wa chama tawala Mkoani
Gitega.
Wanajeshi
wawili na mwanamke mmoja anaedaiwa kuwa ndie aloiongoza mauaji hayo
wamehukumiwa jana na mahakama kuu ya mjini Gitega.
Kwa
mujibu wa msemaji wa wizara ya Usalama wahusika wa mauaji ni
wanajeshi wawili na mwanamke mmoja.
Muathirika
aliuawa katika mji wa Mutoyi, katika tarafa ya Bugendana mkoani
Gitega Februari 26.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire