Mkurugenzi
wa mawasiliano ofisi ya rais wa Marekani Donald Trump Hope Hicks
ajiuzulu na kuwa mtu wa tano kujiuzulu katika uadhifa huo kwa kipndi
cha mwaka mmoja.
Hope
Hicks alikuwa miongoni mwa watu waaminifu kwa rais Trump, ambapo
amefanya naye kazi kwa kipindi kirefu kabla ya kuwa rais. Mwanadada
huyo asieongea sana alisikilizwa hivi majuzi kuhusu mkasa wa Urusi
kuingilia uchaguzi wa urais nchini Marekani.
Mpaka
sasa haijulikani nini sababu za kujiuzulu kwa mwanadasa huyo kutoka
Ikulu ya White House na ambaye anafikisha idadi ya watu 5 ambao
wameshajiuzulu kwenye uadhifa huo kwa kipindi cha miezi 13
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire