Hakimu
mkuu wa jamhuri katika Mkoa wa Muyinga kaskazini mwa burundi
metangaza kumtia nguvuni muandishi wa habari wa Rwanda kwa kosa la
upepelezi baada ya kukutwa anafanya kazi mkaoni hapo bila kibali
halali.
Hivi
karibuni viongozi wa serikali ya Burundi wamepaza sauti kuhusu
waandishi wa habari wa kigeni tangu kuanza kwa maandamano mwezi April
kupinga umauzi wa rais Nkurunziza kuwani amuhula wa 3.
Etienne
Besabesa Mivumbu ambae kulingana na kituo cha habari nchini Rwansa
RNA alikuwa anafanya kazi katika kituo binafsi cha Izuba pamoja na
mtandao wa Igihe.com.
Hakimu
mkuu wa jamuhuri katika Mkoa huo ameeleza kwamba muandishi huyo wa
habari alikamatwa akiwa na vifaa vya kunasa sauti pamoja na camera
akiwa kwenye besketi akitokea nchini Rwanda katika tarafa ya
Giteranyi, hivyo anatuhumiwa kufanyakazi ya kuchukuw ahabari bila
kibali.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire