Upinzani
nchini Burundi umetupilia mbali pendekezo la kalenda ya uchaguzi
iliowasilishwa na tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi wa bunge na
ule wa rais na kutowa mashati kadhaa katika maandalizi ya uchaguzi
huo.
Mmoja
kati ya viongozi wa upinzani bwana Charles Nditije ameomba uundwa wa
tume nyingine ya uchaguzi ambapo wajumbe wawili kati ya watano
walijiuluzu na kuitoroka nchi.
Miongoni
mwa masharti hayo ni pamoja na kuwapokonya silaha vijana wa chama
tawala wa Imbonerakure na kumtaka rais kuachana na nia yake ya
kuendelea kuwania muhula wa tatu ambao ndio chanzo cha vurugu
zinazoendelea nchini humo.
Charles
Nditije amesema hawawezi kuandaa uchaguzi wakati huu kabla hawaja kaa
chini na kujadili kuhusu uundwaji wa tume nyingine ya uchaguzi, kama
hawajadili kuhusu mazingira ya siasa na usalama wakati nchi ikielekea
kwenye uchaguzi, kama hawajadili kuhusu kuwapokonya silaha
wakereketwa wa chama tawala na kama Nkurunziza hatupilii mbali nia
yake ya kuwani amuhula wa 3.
nditije
aliyasema hayo muda mfupi baada ya tume ya uchaguzi kupendekeza
kufanyika kwa uchaguzi wa Bunge juni 26, uchaguzi ambao hawali
ulikuwa umepangwa kufanyika Mei 26 kabla ya kuahirishwa hadi Juni 5
na ule wa rais kufanyika Julay 15.
hapo
jana waziri wa mambo ya ndani aliomba upinzani kuwasilisha majina ya
watu wawili wataochukuw anafasi ya wajumbe 2 waliojiuzulu kwenye tume
ya uchaguzi, lakini upinzani wao unadai iundwe tume nyingine na sio
hii iliopo..

Nditije

Hapo